*WASAFI presents*
*ARTIST*:Harmonize ft Rich mavoko
*SONG*:Showme
*PRODUCER*:Lizer
*STUDIO*:Wasafi Record
*LYNRICS WRITTER*:Wasaport media
*Harmonize*
Asa Mwenzako I feel so good me nikikuona,
Aah uomwendo unafanya kusudi na ulivyo shona,
Ati unakwenda au unarudi wakatakona,
Nyuma ka katuni za masudi ulivyo nona,
Eeih ivi unapenda wavifua ka roboti "ama sanam"
Au wazee wakununua mwaga noti "ka sallam"
Oooo o ooh Anitha ,
Macho kama unanita,
Aaa a aa saa sita,
Shape vella sindika,
Aa aaah anita
Macho kama unanita,
Shape Vellah.....
*Chorus*
Aah showme, showme ,showme,
'"Unavyo dance"'
Showme, Showme ,Showme,
"'Waonyeshe unavyo dance"' ×2
*MAVOKO*
Umenifinyanga kama dona,
Mmakonde na ndonya,
Kama mpira maradona,
Kichuya kona,
Nawakisema namawenge wambie "werrasoni"
Wakiringisha peremende nitakugawia "koni",
Chunga kipenzi majaribu,
"'mabaya saaana oooh"'
Nawe ndo dokta wa kunitibu,
"Niwe salama oooh"
Ooh baby anitaaa,
"Macho kama unaniita"
Saa siita
Kiuno kama yondo sista
Aaah *(×2)*
*CHOROUS*
Aah showme, showme ,showme,
'"Unavyo dance"'
Showme, Showme ,Showme,
"'Waonyeshe unavyo dance"' *(×2)*
*Harmonize*
Asa Mombasa,nairobi,
"Sakata base"
Kampala,kigali
"Sakata base"
Zimbabwe kwa tobi
"Sakata base"
Naija somali
"Toto sakata base"
*mavoko*
Wanangu wa panya road
"Sakata base"
Chaukucha kwa salali,
"Sakata base"
Na unyamani , BOB
"Sakata base"
Kizonga kwa natali
"Toto sakata base"
Aaah aaaa aa
A a aaah
Unavyo dance
Aaaaah aa aa aaa
Aaaah a aaa
Waoneshe unavyo dance.
*CONTACT*
Follow us on instagram
@wasaport_tz
Like ou page Facebook
@wasaport
Follow us on Twitter
@wasaport
Email
Wasaport@gmail.com
www.wasaportz.blogsport.com
1 Comments
ReplyDeleteFirstCoupon was just started back in May of 2017 and now FirstCoupon is First destination for DISCOUNT COUPONS to get Huge Discount on Purchases to Save Money to Shop More.