Download | New | Audio | Twenty Percent(20%) – SITOI.MP3 | www.wasaportz.blogspot.com | follow us on @instagram wasaport_tz | like us on @facebook wasaport | follow us on twitter @wasaport

                         https://www.hulkshare.com/zvjrpqd4zsa 
 Mshindi wa tuzo tano za muziki za Kilimanjaro 2011, Abbas Kinzasa ‘Twenty Percent’ amesema ameamua kurudi kwa producer wake John Shariza, maarufu kwa jina la Man Walter ili kuwaburudisha mashabiki ambao wanahisi kuna kitu wanakosa. Na huu ndio Ujio wake Mpya (SITOI)Msikilize na Uache Comment Yako.

Post a Comment

0 Comments