TAZAMA HAPA KIONJO CHA VIDEO MPYA YA DIAMOND PLATNUMZ FT PSQUARE BOFYA LINK UPATE HABARI YOTE

NYOTA WA MUZIKI WA BONGO FLAVOUR NASEEB ABDUL MAARUFU KAMA DIAMOND PLATNUMZ AMEDHIBITISHA LIVE KATIKA MITANDAO YAKE KWAMBA WIMBO ALIO WASHIRIKISHA MAPACHA PSQUARE SASA UPO TAYARI ALIIAMBIA WASAPORT MEDIA KUA AUDIO NA VIDEO IPO TAYARI N AMUDA SIO MREFU ATAUACHIA HEWANI PIA ALISISITIZA KUA SUBSCRIBE KWENYE YOUTUBE CHANNEL YAKE ILI UWE WAKWANZA KUTAZAMA VIDEO HIYO HAIDHA DIAMOND HAKUSITA KUWASHUKURU MEDIA ZOTE NA MASHABIKI KWA KUWAPOKEA VIJANA WAKE VYEMA TOKA WCB KINA HARMONIZE, RAYVANNY,  RICH MAVOKO .

Post a Comment

0 Comments