VICTORIA GROUP WAVAANA NA BOKO BEACH VETERANI NYERERE DAY.......

Na Hilary Laizer

       Kikundi cha kijamii kiitwacho VICTORIA GROUP tarehe 14-10-2017 walichapana dimbani dhidi ya BOKO BEACH VETERAN,
      Katika mechi hiyo miongoni mwa wachezaji waliokuwepo ni viongozi mbali mbali wa serikali akiwemo Mbunge wa Sengerema Mh NGELEJA
Mh Ngeleja
BOKO BEACH VETERAN (BBV) waliibuka Kidedea kwa kuwachapa VICTORIA GROUP (VG) kwa magoli (5-2)
Na Nia ni kusherekea Nyerere day Kumuenzi Baba wa Taifa Hayati Mwl.Jk.Nyerere
Huyu ndio Mh Ngeleja akilisakata kabumbu na ndio alikua full beki namba Tano wa timu ya VICTORIA GROUP
BBV vs VG
KIKOSI CHA VICTORIA GROUP(VG)
KIKOSI CHA BOKO BEACH VETERAN (BBV)

 

Post a Comment

0 Comments