Ikiwa kunachangamoto kubwa ya vifaa tiba katika hospitali zetu nchini, mwanamuziki Nay wamitego ameliona hilo na kuamua kutoa msaada wa madawa katika Hospitali ya Tandale. Nay akiwa Hospitalini hapo aliwatembelea baadhi ya wagonjwa na kukabidhi madawa kwa uongozi wa Hospitali hiyo. Uongozi wa Hospitali hiyo umemshukuru Nay kwa msaada huo na kuwaomba wasanii wengine kuona changamoto hizo na kuungana na Nay katika kutatua kero mbalimbali.
Tazama Video hapa chini
BY STARKING
0 Comments