(Mitaa ya jiji la Dar es
salaam ikiwashiwa cheche za burudani na SPARK TOUR)
Kama isemavyo
kua kipaji chako ndio ufunguo wako , ndio inavyokua kwa vijana na watu
wanonesha vipaji kupitia simu hii mtaa kwa mtaa jijini Dar es salaam, uvumizi
wa kiburudani unafwanywa na kamouni Tecno Huku lengo likiwa pia kutoa nafasi kwa
viijana wa kitanzania kuonesha uwezo wao ili waweze kusaidiwa.
Tecno SPARK imekuja ikiwa na
utofauti mkubwa huu ikiigemea katika upande wa kiburudani zaidi .Simu
inahamasisha vijana kua na mitindo
inatambulishwa ikiwa na kamera nzuri yenye picha ang’avu kwa 13MP,
Teknolojia ya mix flash, usalama wa kibabe wa kutumia alama za vidole , kioo
chake ni kina ukubwa wa inchi 5.5 , 16gb za kuweka vitu ndani wakati inasukuma
data kwa 2gb ram. Tecno Spark inakuja ikiwa na rangi mbalimbali rangi
nyeusi,(phatom black), rangi ya dhahabu (champagne gold) na rangi ya blue
(coral blue).
(mitaa ya jiji la Dar es
salaam ikiwashiwa cheche za burudani na SPARK TOUR)
Tecno spark, vimba na spark.
.
0 Comments