MASHABIKI WAMZUIA DARASA KUTOA WIMBO MPYA

Na:Hilary laizer
Mziki imekuwa ni ngoma ya kihistoria katika maisha ya Darassa pamoja na Bongo Flava kwa ujumla kwa sasa. Naweza kusema ni ngoma ambayo imeishi muda mrefu na bado inazidi kufanya vizuri.
.
Haikuwa mategemeo yangu kuona watu watagoma kupokea kazi nyingine kutoka kwa mbabe huyo wa ‘Muziki’ ambaye ametumia ukurasa wake wa Instagram kuuliza kama mashabiki wake wapo tayari kupokea kazi mpya. .
“Any new about #muziki before to drop another bullet please?” Darassa ameandika kwenye Instagram. .
Hizi ni baadhi ya comments za mashabiki wake kuhusu post hiyo: .
luganoh: Class Kwa maana ya soko miezi hii sio mizuri pia MUZIKI bado inafanya vizuri sana subili, endelea kula hela uliyo tengeneza mwaka 2016 .
runih_ Wahurumiee kidogo hta wapumue pumueee .
galasagangijr: Utauwa @darassacmg .
mwasandendetaimu: Subiria kidogo mpaka March
benritykev Utaua clax ckilizia kidogo .
wema_la_diva: Hatareee we leta tyu .
maeza_dam: Acha maneno letee muziki .
alikibatz_fans: Noma .
djmvungy: Vunga kidogo coz bado muziki ni Wimbo wa Taifa drop new kwny mwez6 hv @darasacmg .
samuelnkangala: Usidondoshe kwanza mpaka muziki iishe utamu mwakani.

posted from Bloggeroid

Post a Comment

0 Comments